IQNA – Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri kimemuelezea marehemu qari mashuhuri Ustadh Abdul Basit Abdul Samad kuwa balozi wa Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3481613 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/04
IQNA – Moja ya kumbukumbu za kipekee katika ulimwengu wa Qur’ani ni usomaji wa kihistoria wa qari mashuhuri wa Misri, marehemu Ustadh Abdul Basit Abdul Samad, katika Haram ya Imam Musa Kadhim (AS) mjini Kadhimiya, Baghdad, mwaka 1956.
Habari ID: 3481606 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/02
Leo Katika Historia
TEHRAN (IQNA) - Katika siku kama ya leo miaka 31 iliyopita, aliaga dunia katika mji wa Cairo Misri, Sheikh Abdul-Basit Abdul-Samad , mmoja wa waalimu na maqarii wakubwa wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3472244 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/30